Hili Pambano Limekaaje?

Hili Pambano Limekaaje?

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,455
Reaction score
1,473
Habari Za Jioni Wana JF, Poleni Na Hongereni Kwa Majukumu.
Kama Ni Mfuatiliaji Wa Boxing Lazima utakua Unawajua hawa Wanamasumbwi Hodari, Deontay Wilder Na ( Handsome Boy) Anthony Joshua, Na Ndio Wapo Kwenye Peak kwa Sasa, Hilo Halina Ubishi, Hivi Pambano Lao Lipo Kweli? Na Kama Lipo Ni Lini? Binafsi Mimi Namkubali Sana Anthony, Hapanick, Anatulia Kwenye Ring, Vipi Kwa Nyinyi Wana JF Wenzangu, Nani Mkali Kati ya Hawa Wawili, Hebu Tafadhali Tujadili Tupeane Maujanja
Mnakaribishwa!
Screenshot_20180525-222437.jpg
 
Bado wanatambiana...didhani kama wamepiga hatua yoyote kuelekea kupanga hata tarehe.

Deontay naona anapambana rough mno kuangalia mapambano yake wala hu enjoy ingawa anashinda. Ni sawa na huyu jamaa aliyestaafu juzi, huyu aliyempiga Paq. Yaani unaona hakuna art kwenye mchezo wake ingawa ndo hivyo anashinda.

Wakiingia uwanjani probably nitamshabikia Joshua ingawa ingekuwa kubet ningebet kwa Deontay.
 
Shikamoo
 
Nitashukuru. Raha mkienda chinese kama watu wanne hivi...then mna order different things kama vitatu family size then mnashare.

Anyway usisahau kunipa mrejesho.
Usijali my dear ntakupatia mrejesho. Kwani huko kwenu mwanerumango kunao hiyo family package?
 
Adi wapigane ndio tujue mkali nani vinginevyo tutaongea kwa mapenzi tu..
 
Ukienda peke yako huwezi kuenjoy. Wawili watatu ndo inanoga kila mtu akiagiza chake mnashare
Nlikuwa nasoma thread yenu ya vyuo, imenipotea. Ila nina swali...hao malecturer mnaowataja walikuwa viwembe wana familia kweli? Mke na watoto?
 
Back
Top Bottom