Hili Pambano Limekaaje?

Nlikuwa nasoma thread yenu ya vyuo, imenipotea. Ila nina swali...hao malecturer mnaowataja walikuwa viwembe wana familia kweli? Mke na watoto?
Mmoja ana familia na pete ya ndoa anavaa kabisa. Eric kijana bado na anasema hana mpango wa kuoa leo wala kesho japo mkubwa.
 
Mmoja ana familia na pete ya ndoa anavaa kabisa. Eric kijana bado na anasema hana mpango wa kuoa leo wala kesho japo mkubwa.
Duh aisee...

Nina maswali mengi ila mengine ntakuuliza on barbeque day.
 
Duh aisee...

Nina maswali mengi ila mengine ntakuuliza on barbeque day.
Lol. Sawa. Maswali lazima yawepo ila kibongo bongo mdada akiwa kilaza class afu awe mzuri na mpenda kuonewa huruma lazima lecturers wajilie
 
Lol. Sawa. Maswali lazima yawepo ila kibongo bongo mdada akiwa kilaza class afu awe mzuri na mpenda kuonewa huruma lazima lecturers wajilie
Si ndivyo wahenga wasemavyo...

"...ts the private parts that suffer."
 
Anthony Joshua yuko vizuri,hana mpinzani kwa sasa,ingawa alionyesha udhaifu kidogo pambano lililopita hakuwa kwenye kiwango chake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…