Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mmoja ana familia na pete ya ndoa anavaa kabisa. Eric kijana bado na anasema hana mpango wa kuoa leo wala kesho japo mkubwa.Nlikuwa nasoma thread yenu ya vyuo, imenipotea. Ila nina swali...hao malecturer mnaowataja walikuwa viwembe wana familia kweli? Mke na watoto?