Nchi nyingi watu walio nnje ya nchi zao wanapiga kura,vipi kupigiwa?Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wajati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Haki ya kupigiwa kura unaipata utakapojaza na kuziwasilisha kwa wahusika fomu za kupigiwa kura tofauti na kupiga kura. Haki ya kujaza fomu unaipata endapo uko huru ili uweze kukamilisha masharti ya kuweza kupigiwa kura.Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Huwezi kumpigia kura mtu ambaye hajagombea hata kama ana haki ya kugombea.Nchi nyingi watu walio nnje ya nchi zao wanapiga kura,vipi kupigiwa?
Hongera kwa kuliona hili.Hizi ni tabia za kuendekeza wizi wa kura kama vile uchaguzi wa 2020 kutanguliza majeshi kwenda kupiga kura kabla ya siku maalum ya kupiga kura.Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Mkuu na ya kupiga kura si mpaka ujiandikishe au siyo- unakwama wapi?Haki ya kupigiwa kura unaipata utakapojaza na kuziwasilisha kwa wahusika fomu za kupigiwa kura tofauti na kupiga kura. Haki ya kujaza fomu unaipata endapo uko huru ili uweze kukamilisha masharti ya kuweza kupigiwa kura.
Mawazo ya ccm yanawapeleka huko.Hilo jambo halijakaa sawa,mfungwq atapigaje kura wakati hata kampeni za uduwani,ubunge na uraisi haja shiriki Wala kisikiliza sera.Sina hakika kama magereza yetu yanavyombo vya habari kama TV!hapa wanataka kutengeneza kura feki
Kilaza ktk ubora wakoNi ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi.
Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
Tunazungumzia wa miaka 18 na zaidi, mpaka anafungwa anaweza kuwa alijiandikisha na sheria ikiwepo ataandikishwa, shida iko wapi?Mkuu na ya kupiga kura si mpaka ujiandikishe au siyo- unakwama wapi?
Nipe ushahidi wahindi na waarabu mnaowapigia kura wakishiriki kwenye kampeni zaidi ya mgombea.Hilo jambo halijakaa sawa,mfungwq atapigaje kura wakati hata kampeni za uduwani,ubunge na uraisi haja shiriki Wala kisikiliza sera.Sina hakika kama magereza yetu yanavyombo vya habari kama TV!hapa wanataka kutengeneza kura feki