Hili penzi za mahondaw na smart 911 linakera sasa😂

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
Kila muda cc mahondaw, hata uzi wa kuomboleza cc mahondwa, we ngoja siku nikiwashika pamoja👇🏻
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa mkuu wewe inakuhusu nini, au inakukera nini!

Si uwaache waendelee na cc zao!

Au waweke "Ignore List".

Na kesho Maxence Melo amesema kuna updates mpya zinakuja, huenda zikawa na option ya "Block", hautakaa uone cc zao tenaa!
 
Jamaa aliweka signature (cc mahondaw)
Inakuwepo chini kwenye kila post yake.. Ata hivyo we nae ni balaa mwanangu!
 
Mi nilikuwa tembea na picha yake, nguo zote nimechora picha yake,, hadi ......nilichokuja kutendwa . Tuwaombee tu dua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…