Mimi ni msikilizaji mzuri tu wa Redio pendwa Clouds Fm,ila nimeshangazwa sana na hili Promo analopigiwa GK na Redio hii kwenye ujio wake mpya mbona sio la kawaida,au ndo maandalizi ya kutumika Fiesta?Mbona kama wimbo wa kawaida sana au masikio yangu yana bifu na huo wimbo?
nyimbo iko poa, xema mnachuk zenu, msiishi kwa mazoea alafu pia kupigiwa promo sio dhambi, wanawivu mpaka wa mevuka ukomo refer verse ya nick wa 2@ bei ya mkaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.