Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya 8,000/= kupata dakika 3,000 za mitandao yote na SMS 3,000 kwa mwezi mzima!
Je, hili ni punguzo la kudumu kutoka Airtel au ni danganya toto tu?
Hapa nimeambatanisha gharama za kabla na nilizoziona leo.