Siwamilele JF-Expert Member Joined Oct 22, 2019 Posts 288 Reaction score 730 Mar 19, 2022 #21 Muangila said: We kama sio Halima Mdee utakuwa Ester Bulaya๐๐๐ Click to expand... Au Ndugu-guy
Muangila said: We kama sio Halima Mdee utakuwa Ester Bulaya๐๐๐ Click to expand... Au Ndugu-guy
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,051 Mar 19, 2022 #22 Kweli. TLP, UDP, NRA, TADEA na CUF wamejenga taasisi imara zaidi. Na CCM wao walijengewa na serkali wakati wa chama kimoja. Watu wajinga siyo wa kubishana nao. Wakubalie tu ujinga wao ili wajisikie vizuri. Fumadilu Kalimanzila said: CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka! Click to expand...
Kweli. TLP, UDP, NRA, TADEA na CUF wamejenga taasisi imara zaidi. Na CCM wao walijengewa na serkali wakati wa chama kimoja. Watu wajinga siyo wa kubishana nao. Wakubalie tu ujinga wao ili wajisikie vizuri. Fumadilu Kalimanzila said: CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain of command inayoeleweka! Click to expand...