themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma
Kituko Leo mkurugenzi kageuza Gia angani kuwa bado wanafanya majaribio hivyo safari itaishia Morogoro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hili shirika kwa mwendo huu litairudisha hiyo HeLa kweli kwa huu mwendo wa kinyonga?
Dude kama lile La umeme kulipigisha ruti za Moro ni vituko sana mlitakiwa mfike Hadi Dodoma kama ni Moro watu washuke wapande wengine
Pia soma: Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa