Hili shirika la Reli linaongozwa na watu wenye vituko sana

Hili shirika la Reli linaongozwa na watu wenye vituko sana

Kuna mtu hajawahi hata kutumia gari Dar Moro nae anachangia eti 2hrs kwa treni Dar Moro no afadhali bus. Watu tunaenda na private car 4-5hrs na risk kibao.
Hii nauli hata Dar Moro iwe 25,000/- tunaojali muda na usalama tutapanda.
Inashangaza. Dar moro hata uwe na gari ya aina gani minimum ni masaa 3 na nusu na maximum ni masaa 5 unless uwe na msafara ving'ora kama vyote barabara yote imesafishwa.

Katika sehemu ya hovyo kuendesha gari nchi hii ni Dar moro, ni 180km lakini unatumia masaa 5 yaani ni wastani wa 30kmp, hata anae endesha baskeli anaweza kukutangulia.
 
Hata zile bei ni siasa tu,huwezi weka nauli DSM to Dom 31K huku unafika DSM after 4 hours hapo hapo basi tu ni 30-35K.
Si utaua biashara ya mabasi yote ya DSM to DoM
Point Yako ni ipi? Kwamba unataka nauli ya SGR iwe kubwa kuliko ya mabasi ili raia waache kupanda SGR wapande mabasi.?
 
Kama wameshindwa mwendokasi wataweza ilo?




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kama wameshindwa mwendokasi wataweza ilo?




KAZI ni kipimo cha UTU
Mwendokasi hawajashindwa kuiendesha na wala haileti hasara.
Ila hawaiendeshi kiufanisi kero zimekua nyingi wanachojali wao ni pesa zao basi ila huduma za wananchi duni.
 
Back
Top Bottom