themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Wale watafeli vibaya sanaHakuna mwendokasi pale mkuu!
Masaa mawili morogoro si bora upande Abood
Hata zile bei ni siasa tu,huwezi weka nauli DSM to Dom 31K huku unafika DSM after 4 hours hapo hapo basi tu ni 30-35K.
Si utaua biashara ya mabasi yote ya DSM to DoM
Hakuna mwendokasi pale mkuu!
Masaa mawili morogoro si bora upande Abood
Wale watafeli vibaya sana
Usanii tu...
Punguzeni makasiriko.Kuna watu walichukulia sirious lile tangazo? duh
AahaaaPunguzeni makasiriko.
usalama ni mkubwa sana kwenye njia ya reliHakuna mwendokasi pale mkuu!
Masaa mawili morogoro si bora upande Abood
Abood Dar Moro ni masaa 4 hadi 5.Hakuna mwendokasi pale mkuu!
Masaa mawili morogoro si bora upande Abood
Akili yako ipo kwenye kulinda mabasi tuHata zile bei ni siasa tu,huwezi weka nauli DSM to Dom 31K huku unafika DSM after 4 hours hapo hapo basi tu ni 30-35K.
Si utaua biashara ya mabasi yote ya DSM to DoM
Kuna mtu hajawahi hata kutumia gari Dar Moro nae anachangia eti 2hrs kwa treni Dar Moro no afadhali bus. Watu tunaenda na private car 4-5hrs na risk kibao.Abood Dar Moro ni masaa 4 hadi 5.
Bora upande treni.
Hayo masaa manne ni pamoja a foleni.Abood Dar Moro ni masaa 4 hadi 5.
Bora upande treni.
Washamba kibao,nyie ndio washamba wenyewe. Hamjui chochote.Hayo masaa manne ni pamoja a foleni.
Lakini treni haina foleni na inatumia zaidi ya masaa mawili, sasa hapo kuna mwendokasi?
Aaah wee!Abood mpaka Morogoro inatumia masaa 5 mpaka 6.Hakuna mwendokasi pale mkuu!
Masaa mawili morogoro si bora upande Abood
Dar to Moro kwa treni ni masaa mawili kasoro.Hayo masaa manne ni pamoja a foleni.
Lakini treni haina foleni na inatumia zaidi ya masaa mawili, sasa hapo kuna mwendokasi?