Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mwanakwendazake, rip, ameacha rigasi mbaya sana kule Dom! Kuchakata matokeo, kuanzia kura za maoni ccm hadi uchafuzi ule!!
Wewe unachuki nae.Mwanakwendazake, rip, ameacha rigasi mbaya sana kule Dom! Kuchakata matokeo, kuanzia kura za maoni ccm hadi uchafuzi ule!!
Hata bila Royal tour Tanzania inapata watalii.Lakini kuna ukweli kwamba huu ndiyo msimu wa utalii wa wazungu (summer holiday). Miezi hii na ile miezi ya December wazungu wanafanya sana utalii.
Sawa lakini wakiongezeka ni vizuri zaidiHata bila Royal tour Tanzania inapata watalii.
Acha chuki zako. Nakujua vyema kabisa.Sema hilo ni genge la CCM lilojaa wahuni walioteuliwa na Magufuli mwenyewe.
Kivipi? Maana vivutio vya Tanzania ni vilevile na vinajuliakana hata kabla ya Royal tour.Sawa lakini wakiongezeka ni vizuri zaidi
Wewe mama umekosa huduma?Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.
Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?
Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
Wewe nakujua.Inasikitisha sana
Mama umevaa shanga? Unahitaji huduma?Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.
Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?
Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
Kivipi? Maana vivutio vya Tanzania ni vilevile na vinajuliakana hata kabla ya Royal tour.
Aibu tupu hili bunge.mbunge kasimama na kusema
uwindaj haramu kuzuiliwa kumesababisha ongezeko la tembo
sasa alikua anamaanisha nn mm sikuelewa
kwamba waruhusiwe
Marketing inafanyika sana. Ndio maana utalii upo vizuri. Marketing hata kwa kutumia Websites na aina nyingine inatosha.Marketing huwa inafanywa ili kushawishi watu wanunue bidhaa hata kama wanaijua. Mzungu mwenye hela anaweza kwenda holiday popote pale akiamua siyo lazima aje kutembelea mbuga za wanyama au kuja Zanzibar. Marketing inamshawishi badala ya kwenye kwa mfano beach ya Bora Bora aje Zanzibar.