wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona bora serikali ingetafuta kitu kingine cha kufanyanyia pale au wangerudisha stendi kama ilivyokua mwanzoni.
Soma Pia: Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa kuchukua maduka kwenye soko la Kimataifa la Biashara linalojengwa Ubungo na EACLC