Dampo la bidhaa mfuKariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona bora serikali ingetafuta kitu kingine cha kufanyanyia pale au wangerudisha stendi kama ilivyokua mwanzoni.
Soma Pia: Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa kuchukua maduka kwenye soko la Kimataifa la Biashara linalojengwa Ubungo na EACLC
Unadhani bidhaa za china zinaingizwa nchini kisa hilo soko, ? Saizi halipo ila kkoo zimejaa bidhaa za nani?Serikali ilikosea kupokea rushwa na kukubali ujenzi wa hilo soko. Kujengwa kwa hilo soko maana yake kama nchi tumekubali kuwa dampo la bidhaa za China, hivyo uzalishaji haupo kwetu.
Na hilo soko kodi nasikia hakuna
Lengo ni kuwapunguzia watanzania safari ya kwenda ChinaKariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona bora serikali ingetafuta kitu kingine cha kufanyanyia pale au wangerudisha stendi kama ilivyokua mwanzoni.
Soma Pia: Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa kuchukua maduka kwenye soko la Kimataifa la Biashara linalojengwa Ubungo na EACLC
Ni soko la Kawaida sana hilo, sijaona kipya hapo.Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona bora serikali ingetafuta kitu kingine cha kufanyanyia pale au wangerudisha stendi kama ilivyokua mwanzoni.
Soma Pia: Wafanyabiashara watakiwa kuchangamkia fursa kuchukua maduka kwenye soko la Kimataifa la Biashara linalojengwa Ubungo na EACLC
Na wote watakimbilia kwa mchina. Kwa nchi nyingine wanaita CHINA TOWN STORE.Naona mmekaa mnajipa moyo ila hamtokuja kuamini mchina atakachowafanyia ...time will tell.
Machinga complex nyingine.Ni soko la Kawaida sana hilo, sijaona kipya hapo.
Picha za sa100 na mchina ni kubwa kuliko soko.Machinga complex nyingine.
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale