Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kuwa serious, nani atapokea Tsh huko duniani?Si mtumie hela zenu wenyewe.
Watu mnayo sarafu yenu nyie wenyewe. Inaitwa ‘shilingi’.
Mnahangaika na sarafu za nchi ingine, kwa nini?
Au ndo kukiri kuwa Marekani ndo baba lao?
Watu watapokea.Kuwa serious, nani atapokea Tsh huko duniani?
Lini!?Kuna kipindi ilikuwa Tsh5000 kwa Usd $1, bado hapa
Simu zenu mnatoa china, tanzania na china walikubaliana kutumia sarafu zao, tafuta yuan ya chinaSimu ya dollar 700 inatakiwa ulipie karibu million 2,haha yaani usd 700 tu leo milion mbili???
Ulizaliwa lini?Tokea nizaliwe sijawah shuhudia kuporoma kwa shilingi kama kipindi hichi, one of the worst ever!
"Simu zenu" unazijua Simu zetu mzee au ndio utani hadi kwenye mambo serious...mada ni thamani ya shilling dhidi ya dollar...Simu zenu mnatoa china, tanzania na china walikubaliana kutumia sarafu zao, tafuta yuan ya china
Kwamba hukutaja simu na bei yake!!?..na simu unazotumia huagiza ulaya na USA!?..acha upimbi"Simu zenu" unazijua Simu zetu mzee au ndio utani hadi kwenye mambo serious...mada ni thamani ya shilling dhidi ya dollar...
ngoja nikuache..hujui kinachozungumzwa hapa...Kwamba hukutaja simu na bei yake!!?..na simu unazotumia huagiza ulaya na USA!?..acha upimbi