Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

Hili suala la interview ya sekretarieti inanichanganya

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
TANGAZO
30/08/2024

Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma inawataarifu wale wote walioitwa
kwenye usaili wa Kada za Afya kuwa USAILI WA KUANDIKA/MCHUJO utafanyika
Katika Mkoa ambao msailiwa anaishi kwa sasa (Current address) na USAILI WA
MAHOJIANO YA ANA KWA ANA utafanyika Katika Mkoa uliochagua wakati
unaomba kazi. Mfano kama uliomba nafasi ya Tabibu Mkoa wa Mara, utafanyia
usaili wa mahojiano Katika mkoa wa Mara.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
 
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua mmoja, anayeelewa anisaidie tafadhali!
Ukifika muda wa interview ndugu lazima uchague somo moja la kwenda kufanyia usaili. Huwezi kua ttend masomo yote
 
Ukifika muda wa interview ndugu lazima uchague somo moja la kwenda kufanyia usaili. Huwezi kua ttend masomo yote
Ukikuta sahili zimepishana kwenye hayo masomo yako inawezekana mkuu ila kama yamegongana Mda mmoja hapo ni changamoto
 
Saiv naona kuna mabadiliko mkuu nimeona tangazo wametoa uko usaili wa kuandika unafanyika mikoa uliopo ila sasa usaili wa mahojiano unafanyika mkoa uliomba
Hv kuna utofauti gani kati ya mkoa uliopo na mkoa ulioomba mana wakati wa kuomba ajira muajiri alikuwa MDA'S na LGA'S na sio mikoa.
 
Kwani Kila somo litakuwa na mtihani wake??, maana wengine wanasema pepa ni moja
Ila nyie watu mnauliza maswali ya kijinga sana aisee, sasa pepa litakuwa moja kivipi wakati kila mtu ana level yake ya elimu na somo lake tofauti na wengine?
Na kama itakuwa pepa moja bc n maswali general.

Mbona h ishu wala haihitaji akili kubwa kuielewa.
 
Back
Top Bottom