Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Hizo push up mia unapiga kwa set au mara moja?
 
kilindi nateseka na ke ndio nilihisi hivyo baada ya hapo NO MORE..
TRUST ON YOU
 
Dawa nzuri ya kuondoa tatizo la nguvu za kiume ni mazoezi tu haya mengine ni stori
 
Chanzo cha hili tatizo kwa vijana wengi ni kutazama porn na punyeto. Hapo ni kufanya yafuatayo;
1. Acha kutazama porn na kupiga nyeto.
2. Fanya mazoezi ya kukimbia, ya kukata tumbo na push ups.
3. Fanya mazoezi ya kegel
4. Kula vizuri kama inavyoshauriwa na wataalamu wa lishe na pumzika.
5. Fanya sex na mwanamke kwa kujiamini. Relax. Waza papuchi peke yake wakati wa sex na sahau shida zako kwa muda.
 
Punyeto Na ngiri una saidiaje mkuu
 


Extensive mazoezi na chakula tu, huwezi kula wali Sababu imejaa nyama na ugali/chips /wali au beer Kila siku Saa 4 usiku utegemee nguvu za kiumw
 
Extensive mazoezi na chakula tu, huwezi kula wali Sababu imejaa nyama na ugali/chips /wali au beer Kila siku Saa 4 usiku utegemee nguvu za kiumw
Sasa Tule nini? Ushauri mkuu..
 
Well said Matongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…