Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Tofautisha body builder na kuwa fit.

Wale body builder wengi wanajaza mwili lakini hawapo fit..
-kwa pumzi hawana
-mazoezi ya viungo hawapo fit Zaidi ya kujaza misuli ya kifua na mikono.

Hapa nazungumzia push up...

Piga daily 100 push up tu ..

Baada ya mwezi njoo nipe mrejesho.
Hizo push up mia unapiga kwa set au mara moja?
 
kilindi nateseka na ke ndio nilihisi hivyo baada ya hapo NO MORE..
TRUST ON YOU
 
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂.

Leo tumalize utata, weka picha hapa ya mmea au chakula chochote kinachoongeza nguvu za kiume.

Ukiweza tuelezee na Matumizi.

Dawa nzuri ya kuondoa tatizo la nguvu za kiume ni mazoezi tu haya mengine ni stori
 
Chanzo cha hili tatizo kwa vijana wengi ni kutazama porn na punyeto. Hapo ni kufanya yafuatayo;
1. Acha kutazama porn na kupiga nyeto.
2. Fanya mazoezi ya kukimbia, ya kukata tumbo na push ups.
3. Fanya mazoezi ya kegel
4. Kula vizuri kama inavyoshauriwa na wataalamu wa lishe na pumzika.
5. Fanya sex na mwanamke kwa kujiamini. Relax. Waza papuchi peke yake wakati wa sex na sahau shida zako kwa muda.
 
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo la kimfumo mzima wa mwili.Usidanganyike hata siku moja kuwa kuna ugonjwa wa kukosa nguvu za kiume,isipokuwa unaweza kuwa na ugonjwa au tatizo la msingi litakalopelekea kukosa nguvu za kiume.

Kwa hiyo bila kutibu tatizo la msingi linalokusababisha kukosa hizo nguvu utamaliza dawa zote bila mafanikio au utakuwa unatumia booster kwa siku moja na tatizo linaendelea kuwa palepale na kuwa kubwa zaidi.

Mfano unaweza kuwa na tatizo katika mzunguko wako wa damu,matatizo ya shinikizo la damu na moyo,magonjwa ya kisukari au vidonda vya tumbo n.k lazima tu nguvu za kiume zitapotea au kupungua automatically.Lakini pia kuna watu wana changamoto ya michango au chango la kiume na wakati mwingine ngiri bila kuelewa,hawa pia wako kwenye hatari ya kukosa nguvu za kiume na wakati mwingine uume kusinyaa kuelekea ndani na kuwa mdogo zaidi kuliko awali.

Wengine pia wana mapungufu ya vichocheo mwilini au homoni,lakini pia baadhi misuli yao ya uume ilishaleghea kwa sababu walifanya sana punyeto kwa muda mrefu na matokeo yake wanayaona sasa.

Ni lazima kujua chanzo na baada ya hapo ukitibiwa kikamilifu unapona kabisa na nguvu huwa zinalejea zenyewe automatically baada ya mfumo ulioathirika kukaa sawa.
Punyeto Na ngiri una saidiaje mkuu
 
Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂.

Leo tumalize utata, weka picha hapa ya mmea au chakula chochote kinachoongeza nguvu za kiume.

Ukiweza tuelezee na Matumizi.

Extensive mazoezi na chakula tu, huwezi kula wali Sababu imejaa nyama na ugali/chips /wali au beer Kila siku Saa 4 usiku utegemee nguvu za kiumw
 
Extensive mazoezi na chakula tu, huwezi kula wali Sababu imejaa nyama na ugali/chips /wali au beer Kila siku Saa 4 usiku utegemee nguvu za kiumw
Sasa Tule nini? Ushauri mkuu..
 
Chanzo cha hili tatizo kwa vijana wengi ni kutazama porn na punyeto. Hapo ni kufanya yafuatayo;
1. Acha kutazama porn na kupiga nyeto.
2. Fanya mazoezi ya kukimbia, ya kukata tumbo na push ups.
3. Fanya mazoezi ya kegel
4. Kula vizuri kama inavyoshauriwa na wataalamu wa lishe na pumzika.
5. Fanya sex na mwanamke kwa kujiamini. Relax. Waza papuchi peke yake wakati wa sex na sahau shida zako kwa muda.
Well said Matongee
 
Back
Top Bottom