Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

Sema inategemea na Mwanamke uliyenae,kuna wanawake wengine wanajua sana kutia hamasa kwenye tendo,na unaweza kwenda nae hadi mizunguko 5, na wengine hamasa zao zina turn off kabisa, ukipiga kimoja tu, ndiyo hutaki hata kuendelea!!
Kumbe mwanamke ndo Starring asee šŸ¤”
 
Hakuna dawa ya nguvu za kiume zaidi ya kula chakula chenye nguvu na kufanya mazoezi.
Mfano PUSH UPS.

Piga push ups 100 kila siku asubuhi ukiamka ,
Au jioini .

Ikumbukwe sex ni mazoezi pia bila mazoezi lazima uteseke.
Mbona nasikia ile mijamaa iliyojazika hamna kitu mkuu?
 
Tofautisha body builder na kuwa fit.

Wale body builder wengi wanajaza mwili lakini hawapo fit..
-kwa pumzi hawana
-mazoezi ya viungo hawapo fit Zaidi ya kujaza misuli ya kifua na mikono.

Hapa nazungumzia push up...

Piga daily 100 push up tu ..

Baada ya mwezi njoo nipe mrejesho.
 
Tofautisha body builder na kuwa fit.

Wale body builder wengi wanajaza mwili lakini hawapo fit..
-pimzi.
-mazoezi ya viungo hawapo fit Zaidi ya kujaza misuli ya kifua na mikono.

Hapa nazungumzia push up...

Piga daily 100 push up tu ..

Baada ya mwezi njoo nipe mrejesho.
mwandende well said
 
Hakuna dawa ya nguvu za kiume zaidi ya kula chakula chenye nguvu na kufanya mazoezi.
Mfano PUSH UPS.

Piga push ups 100 kila siku asubuhi ukiamka ,
Au jioini .

Ikumbukwe sex ni mazoezi pia bila mazoezi lazima uteseke.

mkuu ni za kufululiza au unaweza kufanya nusu nusu na kupumzika?
 
Jiwekee kila siku asubuhi au jioni lakini upate push up 50-100...
Na zoezi la kukata tumbo..

Ukimshika mtoto wa mtu aisee,,uta enjoy na utajiona una kiwango bora kabisa.

Sex ni mazoezi mkuu.
 
Unakuta una hela huna nguvu tena , Demu wako anamegwa na Muuza mkaa.. Kupitia pesa yako ndo wana Stay
Hiyo inakuwa mtu kazaliwa kabisa hasimamishi. Na ni watu wachache sana. Kwanza hata kuoa hawezi.

Hizi za kuambizana upungufu sijui kurudia tendo ni biashara za watu tu.
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mimi second round naenda hadi naghaili mchezo zifiki
Hilo ni tatizo mkuu, Hauenjoy. Scientifically;

šŸ’£Round 01 _ dakika 5-7
šŸ’£Round 02 _ 15-30
šŸ’£Round 03 _ 25-45
šŸ’£Round 04 _ Tamaa/Kukomoana japo inawezekana ila hapa utatafuta gori Masaa2.
šŸ’£Round05 _ Ule msosi safi sana + Zoezi kwa Muda mrefu sana ndo utafika.

Kwahiyo kama uko Fiti ukitoa ReflactoryPeriod + Physical Touches inatakiwa Mcheze walau Masaa Matatu hivi...

Kama mke wako Round mbili kila siku Zinatosha ila kamia kweli kweli....
 
Tatu nahisi ntakufa ha ha hiyo ya pili tu kazi
 
Back
Top Bottom