Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hii habari ya kuleta mapicha ya Rais na mwenyekiti wa CCM uwanjani ni mchezo mbaya sana. Mpira ni mpira na siasa ni siasa. Msiwagawe wa Tz kwa kitu pekee kilichobaki kuwaunganisha. Kesho mtu akija na picha za Ahsante Mbowe au Ahsante Zitto mtaanza kuwarushia mabomu. Acheni hizo mambo.
TUTAMUULIA HUKOHUKO KWAO. MWEPESI SANA.
TUTAMUULIA HUKOHUKO KWAO. MWEPESI SANA.