Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hizi ni mechi za CAF, wangekemea wenyewe siasa michezoni. Maana CAF na FIFA wanapiga marufuku haya mambo.Samia ndio mtawala mkuu.
Usishindane na aliyeshika Dola utaumia.
ACHA watambe na Samia watachoka wataacha.
Kila Lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
Bora hata tumepigwa Tu japo naipenda sana Yanga lakini Mimi sipendi mambo ya siasa kwenye mpira maana hata tukichukua kombe atakayesifiwa ni mwanasiasa bila kujua wachezaji wamepitia mangapi....Samia ndio mtawala mkuu.
Usishindane na aliyeshika Dola utaumia.
ACHA watambe na Samia watachoka wataacha.
Kila Lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho