Hili suala la Simba kucheza na wanakwaya badala ya timu ya mpira ni sawa?

Status
Not open for further replies.

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Klabu ya Simba Leo itacheza mchezo wa kirafiki na wanakwaya wa kanisa la mtakatifu George kutoka nchini Ethiopia, st George ni kwaya maarufu sana pale Ethiopia ila sikutarajia kabisa klabu ya Simba ingewaalika hapa nchini kucheza nao kwenye bonanza lao la leo, ratiba ni kwamba watatumbuiza kwanza kwa nyimbo zao nzuri pale uwanjani kabla ya mchezo kuanza, nadhani hapo viongozi wa simba waliangalia pia hili la kutumbuiza na na kucheza Mpira ambapo watakuwa wamepata faida mara 2. Ila sijui kama ni kipimo sawa kwao ndo maana nimeuliza hapa ili watu wa Mpira mtoe mawazo yenu.
 
Nimetazama kwenye orodha ya timu zinazoshiriki mashindano ya klabu bingwa Afrika nikaiona St George ikiwemo.

Au haya mashindano ya CAF ni mashindano ya kwaya na Simba na Yanga ni timu za kwaya pia maana nimezIona kwenye orodha zinashiriki mashindano hayo pia.
 
Zoea utani wa jadi kijana acha ushamba
 
Wa ethiopia wanapiga mpira sana..sio wale maini maini..
 
Kama aliyeandika huu uzi anatamani afute maana mambo magumu.... unandika bila evidence aisee!


Unaifahamu Paris Saint Germany? Sio kila timu ni ya kanisa mjuba!
 
Ipo rank ya ngapi CAF ukilinganisha na timu mbili za Bonanza lililopita?, tukifahamu hilo ndio tutajua important note.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…