Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Klabu ya Simba Leo itacheza mchezo wa kirafiki na wanakwaya wa kanisa la mtakatifu George kutoka nchini Ethiopia, st George ni kwaya maarufu sana pale Ethiopia ila sikutarajia kabisa klabu ya Simba ingewaalika hapa nchini kucheza nao kwenye bonanza lao la leo, ratiba ni kwamba watatumbuiza kwanza kwa nyimbo zao nzuri pale uwanjani kabla ya mchezo kuanza, nadhani hapo viongozi wa simba waliangalia pia hili la kutumbuiza na na kucheza Mpira ambapo watakuwa wamepata faida mara 2. Ila sijui kama ni kipimo sawa kwao ndo maana nimeuliza hapa ili watu wa Mpira mtoe mawazo yenu.