Hili suala la Simba kucheza na wanakwaya badala ya timu ya mpira ni sawa?

Hili suala la Simba kucheza na wanakwaya badala ya timu ya mpira ni sawa?

Status
Not open for further replies.
Klabu ya Simba Leo itacheza mchezo wa kirafiki na wanakwaya wa kanisa la mtakatifu George kutoka nchini Ethiopia, st George ni kwaya maarufu sana pale Ethiopia ila sikutarajia kabisa klabu ya Simba ingewaalika hapa nchini kucheza nao kwenye bonanza lao la leo, ratiba ni kwamba watatumbuiza kwanza kwa nyimbo zao nzuri pale uwanjani kabla ya mchezo kuanza, nadhani hapo viongozi wa simba waliangalia pia hili la kutumbuiza na na kucheza Mpira ambapo watakuwa wamepata faida mara 2. Ila sijui kama ni kipimo sawa kwao ndo maana nimeuliza hapa ili watu wa Mpira mtoe mawazo yenu.
Tumechoshwa na "kamata chini, kamatia chini" sasa tunataka Gospel mtani. Karibu uburudike.
 
Nimetazama kwenye orodha ya timu zinazoshiriki mashindano ya klabu bingwa Afrika nikaiona St George ikiwemo.

Au haya mashindano ya CAF ni mashindano ya kwaya na Simba na Yanga ni timu za kwaya pia maana nimezIona kwenye orodha zinashiriki mashindano hayo pia.
Msamehe Bure tuna kizazi Cha vijana wa ovyo NCHI hii na wengi wao ni mashabiki wa Kidimbwi FC imagine Leo hajui historia ya Timu kama ST.GEORGE Ndo maana waliingia kichwa kichwa Kwa Vipers wakaliwa kichwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ameizidi makombe mangapi? Yanga yupo kimataifa huyo namungo yuko wapi?
Viwango vya Ubora vya CAF vinaonesha Namungo ni Klabu ya 60 kwa ubora Afrika na Yanga ni ya 74.

Yaani kwa sasa baada ya miaka yote ya Uwepo wa CAF.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii timu kama wakicheza na uto...lazima ale 4 mtungi.
 
Viwango vya Ubora vya CAF vinaonesha Namungo ni Klabu ya 60 kwa ubora Afrika na Yanga ni ya 74.

Yaani kwa sasa baada ya miaka yote ya Uwepo wa CAF.
Huo ubora wa namungo unamsaidia nini namungo kwenye soka kama kucheza michuano ya caf ni lazima ushike nafasi nne za juu? Za kuambiwa changanya na za kwako, Leo hii Yanga na Simba wote wanaanzia hatua ya awali wakati Barbra alikuwa anawadanganya Simba timu kuubwa itaanzia hatua ya kwanza na nyie mkajaa, ubora wa timu ni vikombe sio orodha ya caf, hivi kweli wewe kwa akili yako Sasa binafsi bila kushikiwa na caf unaamini Namungo ni Bora kuliko mabingwa wa nchi Yanga?
 
🤣🤣naona zimetembea za uso huko juu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom