Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Umenena, hili suala sijawahi kulielewa kabisa ...Tena ni gharama mtu hana maamuzi ya kujenga , inafika hatua familia yake iko mbali akienda kuitembelea anaingia gharama tena ...Maisha ya utumishi wa umma bwana unaweza kujikuta umafikia umri wa kustaafu bado ujajenga kisa kuamishwa amishwa. Sasa mzaliwa wa Tabora kazi kapangiwa Mtwara anajikuta hana interest ya kujenga kule kwa sababu kwao ni tabora. Baada ya miaka kumi anaamishiwa mkoa wa Tanga nako anakuta hana interest anakaa miaka nane anaamishiwa iringa hvyo hvyo yani hakuna mpango wowote wa maendeleo nikuamishwa tu.
Sijawahi kufikiria kufanya kazi nje ya mkoa wa nyumbani labda biashara ...Huu ujinga wa kutumia gharama .
Wengi walichagua mbali wakanidharau eti wanataka kuishi mbali na kwao ...Mda huu wanataka kurudi kwao uhamisho ni mtihani .