Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana

Mimi huwa sielewi mantiki ya kuvaa kimini harafu kwenye kukaa wanaanza kuhangaika.
Ndio hapo sasa akili zao sijui huwa zinafikiria nini, badala ya mtu kupunguza tatizo/usumbusu anaongeza usumbu/tatizo
 
Hahahahhahahaaaaa

Ulimsomesha namba sana, hata pilika pilika za kupanda dala dala wanapata tabu sana lakini hawakomi
 
me navaaga kiislam kabisa
hapanihusu hapa
 
Mnapenda kutuangalia bana. Tukivaa kiheshima mtapata taabu sana, mtaosha macho wapi?
 
Hahahahhahahaaaaa

Ulimsomesha namba sana, hata pilika pilika za kupanda dala dala wanapata tabu sana lakini hawakomi
Tatizo wanavaa visketi vya wadogo zao yaani gari v.8 eti anashindwa kunyanyua mguu auweke ndani..mi nikaona kama ananiigilizia kumbe yuko sirius
 
Tatizo wanavaa visketi vya wadogo zao yaani gari v.8 eti anashindwa kunyanyua mguu auweke ndani..mi nikaona kama ananiigilizia kumbe yuko sirius
Ikiwezekana umueleze kabisa sababu ya kumuacha uone kama atasemaje
 
kwani mababu zetu waliwezaje kuvumilia,maana kipindi hicho walikuwa wanafunika sehemu mbili tuu wengine moja, na sehemu kubwa ilikuwa inabaki wazi na vilikuwa vitu og vya kibantu achana na hivi vya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…