Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana

Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana

Daaah nilikua bush mda kidogo sasa ni kama mwezi natembea town juzi kati naingia bank flani nakutana na mabinti wakutosha hizo nguo fupi ndio habari yenyewe, nimekaa siti za mbele kidogo yupo binti amevaa kakimini kake na ndio hivyo tena mungu kamjaalia nabaki kuona nusu ikulu, baasi tena ndo nikaishia hivyohivyo.
 
Uzungu babu weeee wasipo vaa vimini utawaonaje kua ni wamjini .......heri yangu mie nanjilinji huku najivalia madera safi tu .....hizo kero za kutembea na kukaa kwa karaha siziwezi kwa kweli
ushakua bibi wewe ndio maana hutaki kuvaa vimini
 
Yani nguo fupi wavae wao, halafu kukerwa ukerwe wewe?

Inakuwaje hapo?
 
Wana makusudi sn mkuu.Sijui ndo kutengeneza vishawishi!!??
 
Na ya nini kujipa tabu.. Kukosa amani ya mwili kisa fashion..hapana kwakweli..heri nivae dela nitembee kwa kujiachia kwa raha zangu yani hata mtaro nauruka tena kwa mbwembwe zote

Mwisho wa siku maisha ni kuchagua
 
Kuna mmoja, nmetoka kumtukana FB sasa hivi .

Amevaa ovyoo. Alafu makalio ndo kayapiga picha, ,maneno aloweka upuuuzi pia.

Nmescroll nikaachana nayo, ila roho ikasema hapana , Sema neno ... Kwenda kusa koment , wanaume wamemsifiiiiiaaa ,nikaamua kumtukana ,nmemtukana kwa upuuzi wake.
 
Pongez nadhan hatarudia upuzi
 
Kiherehere chako tu cha kuwaangalia na kuwafuatilia, kwani ujisumbue kuwachabo au huna mke, nakushauri achana nao na tabia zao mbaya, binafsi sivaagi nguo fupi
 
Back
Top Bottom