Hili suala la wanawake kuvaa nguo fupi halafu wakianza kutembea/kukaa wanapata tabu, mnakera sana

Lakini siku hizi ndani mnavaa surual mbano tena za jeans na nje mnavaa hijabu la kushangaza baadi gest mnakuja na hijabu kwenye kuvua ndo tunakuta mbano ndani

Kumbee mpaka umvue lakini[emoji16]
 
Na wale wanaoacha nyonyo nje? Na ukipiga jicho anaanza kuhangaika kuziba kwa kiganja, mi uwa najua lengo lao ni tusafishe macho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha tu, labda wanawake wamezidi, nasi hatutongozi...
 
Mimi huwa sipati majibu juu ya mwanamke kuvaa kigauni kisichofunika magoti na kuendesha gari. Akikaa ndani ya gari mapaja yanakuwa nje.

Wadada mnisaidie hapo kuondoa uyungiyungi nilionao
 
A woman's dress should be like a barbed wire fence, serving its purpose without obstructing the view

Wanawake naomba mumpuuze mleta uzi , endeleeni kuvaa jinsi mnavojisikia kuwa inafaa.
 
Kapicha boss, wengine habari bila picha huwa inapoteza mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…