Hili suala likemewe vikali JF na kwenye magroups

Hili suala likemewe vikali JF na kwenye magroups

[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!

UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-

UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.

INAUMA HIYO WAKUU!!!

SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
group gani unalolisemea?
 
Pole sana...

Wenzako wanakuletea drama wewe unaingia kingi na kua serious... usiwe desperate kwenye mambo kama haya...


Cc: mahondaw
 
Tuliza Munkali mambo Mazuri Hayataki Haraka Tafuta Mmoja Vuta Jiko
 
Boss huwa unapotelea wapi?
Wewe,Zero Iq na GuDume ni watu muhimu sana hapa JF!
MKUU,

PILIKA TU ZA MAISHA ZINAFANYA TUADIMIKE,
ND'O MAANA KUNA WATOTO WAJUNZI WANANISHANGAA-
HAWAJUI TULIKOITOA HII JF MPAKA NA WAO WAKAIJUA.
 
Back
Top Bottom