Kama kawa mzee baharia nahodha wa submarineND'O NAENDELEA KUMKOMALIA,
MABAHARIA HATUTAKI UJINGA PINDI TUWAPO SIRIYAZ !!!
Chai? Nikiamka nakunywa supu dogo, we soma kwanza mapenzi utayakuta tuMKUU,
UPO NJE YA MADA,
BILA SHAKA HUJANYWA CHAI !!!
Hakikaa mkuuJamiiforums inapitia kipindi kigumu sana
group gani unalolisemea?[emoji1318]
WAKUU,
KWENYE MA_GRUPU KUNA MAMBO YA KIBOYA SANA!!!
UNAKUTA MTU ANAKUITA MAJINA MAZURI_MAZURI MPAKA UNAONA HAPA SASA ND'O WAKATI MWAFAKA WA KUFANYA MICHAKATO YA KIBAHARIA-
UKIENDA INBOX KUTENGENEZA MUSTAKABALI,
ANAKWAMBIA YE' HAMAANISHI HIVYO,
BALI ANACHANGAMSHA GRUPU TU.
INAUMA HIYO WAKUU!!!
SHENDHI!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23] lile ambalo na wewe upoHayo magroup ya JF yako wapi eti?!
Sipo kwa group yoyote isipokuwa la kazini[emoji23] lile ambalo na wewe upo
Hahahah
Ni ujinga mkubwa sana huo hasa awamu hii ya tano hahaaaUlikua unaishi karibu Na transformer afu umeme wanapata wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WEWE TULIA,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ko wewe hio ni hoja
WEWE SUBIRI KUOSHA VYOMBO ALIVYOLIA CHAKULA SHEMEJI YAKO HAPO.Afu inaonekana huyu jamaa anatumia ID ya mtu haiwezekani mtu wa 2013 awe nauandishi wanamna hii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamiiforums inapitia kipindi kigumu sana
Boss huwa unapotelea wapi?ND'O NAENDELEA KUMKOMALIA,
MABAHARIA HATUTAKI UJINGA PINDI TUWAPO SIRIYAZ !!!
Unatafutwa.mwambie asikutumie wewe kuchangamsha gruop
MKUU,Boss huwa unapotelea wapi?
Wewe,Zero Iq na GuDume ni watu muhimu sana hapa JF!