Hili suala lililowatokea marafiki zangu limekaaje?

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
317
Reaction score
358
Naomba kuuliza!!nina marafiki zangu wawili!! Miaka iliyopita walienda kupima ukimwi kwenye haya magari yanayopita mitaani!!! Mmoja baada ya kupimwa alipewa condom bila kuomba?! Huyu mwengine Alipima ila aliomba condom hakupewa kabisaa?!!je hii imekaaje??na wote walikataa kupewa majibu!!??enzi za jakaya kikwete 2014
 
Toka 2014 mpaka leo[emoji848], je bado wako hai?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi kilee walikua wanasema tunapima!!majibu sio lazima?!.wonyewe nazani walikua wanataka idadi ya waginjwa na sio wagonjwa
Hawakufanya vema kabisa, wangetakiwa wawape watu majibu yao maana kama mtu anao na hajijui means wanamwacha aendelee kuambukiza wengine. Ila mtu akijua status yake inakua vizuri ataanza dozi mapema na hao wazima watachukua tahadhari ili wajilinde vizuri zaidi.
Na kinga wangewapa wote.
 
Tuombe Mungu ao rafiki zako wawe ni domo zege la sivyo .kuna watu watakua wamesha umia

SUBIRI KIDOGO
Kila sikuu wanabadilisha wanawake Aisee!!mbaya zaidi hawatumii kinga yoyote..
 
Kuna suala la umri, kuoa na kutooa, kuwa na wapenzi wengi n.k

Suala la kupewa na kutopewa Condom linategemea na maelezo yakoje.

Unaweza kumpima mtoto ( under 17 ) UKIMWI ila huwezi kumpa Condom.
Sahizi wotee wana miaka 31 ila wamepishana miezi.
 
Huyo aliepewa kinga maana yake alikuwa mzima hivyo aendelee kujilinda, ambae hakupewa ndio bhas tena.. au ambae alipewa kinga maana yake anao so atumie kinga ili asiendelee kusambaza, ambae hakupewa ndio mzima.. Yani kwa hii scenario ni both team to score..

Walivurugwa kisaikolojia ili wajiulize maswali kama haya na waamue kurudi kupima upya na kujua status zao. Ila ndio hivyo tena wanaendelea kuusambaza tu. Hakika gonjwa hili limekaa sehemu mbaya sana.
 
Haha eti both to score!!!ila uyu aliepewa kama simuamini amini vilee..maana yeye na UTI..UTI na yeyee
 
Nshapima hadi nimechoka..
Issue sio kupima tu na kuchukua majibu,bali ni kujilinda na hili gonjwa hatari,kama unapima mpaka umeshachoka ina maana unatambua kua mwenendo wako wa kimaisha ni wa hatari na si wakimaadili ya kidini au kijamii.
 
Nshapima hadi nimechoka..
Tulizana, usiishi kwa hofu. Halafu hatari ukishaijua utaiepuka, hivyo haina haja ya kupima pima hivyo hadi unachoka. Ukishajua status baada ya kupima ni kutulizana tu. Vyvyote majibu yatakavyokuwa ni kutulizana tu mkuu.
 
Tulizana, usiishi kwa hofu. Halafu hatari ukishaijua utaiepuka, hivyo haina haja ya kupima pima hivyo hadi unachoka. Ukishajua status baada ya kupima ni kutulizana tu. Vyvyote majibu yatakavyokuwa ni kutulizana tu mkuu.
Haha yani kuishi kwa hofu ndio tatizo langu aisee!!!nikienda hosptal nikafanyiwa vipimo then waniambumie siumwii..hauwa nakuaga na hofu.sana hadi kupelekea kupima ilo gonjwa!!
 
Haha yani kuishi kwa hofu ndio tatizo langu aisee!!!nikienda hosptal nikafanyiwa vipimo then waniambumie siumwii..hauwa nakuaga na hofu.sana hadi kupelekea kupima ilo gonjwa!!
Unaishi kwa hofu kwa sababu unayajua matendo yako na nyendo zako. Ndio maana nimekwambia tulizana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…