Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nina kagari ambako naomba nifahamishwe kama kuna dealers wake hapa TZ. Ni Jeep ya mwaka 2019 nataka kuifanyia service

Sasa waswas wangu isije ikaguswa guswa na hawa mafundi ambao hawajasomea.binafsi napenda nipate fundi mkuu mwenye doctorate ya mechanics au au hata masters then wasaidizi ndo wawe na degree.

Haya magari ya ulaya na marekani hayataki kabisa ubabaifu.nami sitaki kuonekana naringa.maana kuna siku nlimwambia fundi mmoja kituo cha mafuta aongeze upepo alisumbuka sana dk 40 kujaza tu upepo.nlipomaliza nikamlipa 25,000 yake nikaondoka

Toka siku hiyo nikasema nitakuwa naenda kwa dealers tu hata kujaza upepo. Sasa kwa hapa TZ dealers wa JEEP wanapatikana wapi ndugu zanguni? Au ndo nipark tu gari?
 
IMG_20200609_200007.JPG
 
Mkuu hilo gari likikatiza buza kwa mpalange litageuka kivutio cha utalii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hv mkuu Buza huwa ni sehemu Coco sana...!!?
itabidi siku nifanye tour huko...
na Kiembe mbuzi sijui hata ni wp nasikia tu
 
Back
Top Bottom