Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

The boss Kiduku kujaza upepo ni jero huku kwetu Sikonge , Wewe umejaziwa elfu 25 mjini DSM wamekuibia.
 
Huko yanakotengenezwa, wanaoyafanyia service ni technicians tu. Labda hiyo doctorate ukaisomee mwenyewe ndio uwe unabadili oil na kujazia upepo kwenye jeep yako.

Unasumbuka kununua gari halafu limefika unalitumia ndio unakumbuka hakuna pa kulifanyia service, kila mtu ana nywele zake!
 
Ile nimemaliza kusoma ndiyo nikakumbuka nani kapost hii thread kumbe ni tajiri Kiduku nikaishia ku[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom