Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

Sawa star wetu kiduku lilo
Huwa nafurah sana kuona post zako mkuu
 
Misifa tu. Kwani hiyo gari ina doctorate. Haya bhana, ipeleke UDSM kwa maprofesa waitengeneze. JF imejipambanua kama nyumba ya watu wanafikiri
 
hahahaha Kujaza upepo 25000/ ? baada ya kuangalia ili nibid niisom avatar , nikkutana na jina la blionea mkuu
 
Misifa tu. Kwani hiyo gari ina doctorate. Haya bhana, ipeleke UDSM kwa maprofesa waitengeneze. JF imejipambanua kama nyumba ya watu wanafikiri ila kuna watu wana mada za kijinga kama hawajawahi kukaa madarasani
Na wewe mbona unapanick?
 
Halafu wakuu ujue nilianza kusoma bila kuangakia ID ya nani nimefika aya ya pili nikaamua nicheki id maana.....kumbe ni mwenyewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hatimaye karudi tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…