Hili suala ya michanga kwenye sukari na unga ni janga la Kitaifa mamlaka husiki angalieni hili

Maharo

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
3,552
Reaction score
2,711
Wanajamvi

Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini

Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji

Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nk
Screenshot_20260608_183412_WhatsApp.jpg
 
Wanajamvi

Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini

Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji

Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Screenshot_20251129-214516~2.png
Screenshot_20260417-113057~2.png
 
j
Wanajamvi

Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini

Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji

Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Juzi nikiwa na shemeji yako, tumenunua gunia la mchele kwa matumizi ya kawaida ya vijana nyumbani. Ila cha kusikitisha mchele una mchanga mwingi kuliko chuya.
 
Inaeweza kuwa nje ya mada hata sokoni tu unakuta maharage yamechanganywa na mimawe na majani humo humo.Sijui hata huko Ulaya ni hivyo hivyo ?! Unanunua karanga unakuta na mimawe na michanga eti uanze kuchambua upya.Shenzi.Afrika na miuchaufu uchafu Kila sehemu.Wakulima wetu siijui kinawashinda nini kupeleka nataka safi sokoni.
 
This only happens in a country where leaders (politicians) are after making profit (money) for themselves and for their families, who cares about civilians?

Everything is now being run awkwardly, the voices of the innocent is not considered., and for those who try to shout harder they're shut up by hooligans....
 
Sure.... this is very dangerous
 
Wanajamvi

Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini

Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji

Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Chunguzeni kikamilifu, vitu hivyo vinaagizwa nasikia na Abduli!
 
Inaeweza kuwa nje ya mada hata sokoni tu unakuta maharage yamechanganywa na mimawe na majani humo humo.Sijui hata huko Ulaya ni hivyo hivyo ?! Unanunua karanga unakuta na mimawe na michanga eti uanze kuchambua upya.Shenzi.Afrika na miuchaufu uchafu Kila sehemu.Wakulima wetu siijui kinawashinda nini kupeleka nataka safi sokoni.
Yani shida ni kwamba unakuta unanunua andazi ukitafuna ni michanga mitupu juzi nimenunua kalimati ikanishinda kila ukitafuna mchanga

Ona kama hilo bandiko hapo keki na zenyewe zimejaa mchanga kwa sababu wanaweka sukari yenye mchanga tayari

Ni shida kubwa sana
Inaeweza kuwa nje ya mada hata sokoni tu unakuta maharage yamechanganywa na mimawe na majani humo humo.Sijui hata huko Ulaya ni hivyo hivyo ?! karanga unakuta na mimawe na michanga eti uanze kuchambua upya.Shenzi.Afrika na miuchaufu uchafu Kila sehemu.Wakulima wetu siijui kinawashinda nini kupeleka nataka safi sokoni.
 
j

Juzi nikiwa na shemeji yako, tumenunua gunia la mchele kwa matumizi ya kawaida ya vijana nyumbani. Ila cha kusikitisha mchele una mchanga mwingi kuliko chuya.
Doh poleni sana sasa bora kwenye mchele waweza kuchambua mm nazungumzia unga wa ngano,sembe unakula ugali huku unakula na mchanga
 
Ulaya ujinunua mchele dukani unapika moja kwa moja.yaani hakuna kuchambua na hukuti mchanga au uchafu wowote
 
Doh poleni sana sasa bora kwenye mchele waweza kuchambua mm nazungumzia unga wa ngano,sembe unakula ugali huku unakula na mchanga
labda wanatafuta watu
watakaokuwa na meno
ya kusaga mchanga
tumboni
 
Back
Top Bottom