Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Juzi nikiwa na shemeji yako, tumenunua gunia la mchele kwa matumizi ya kawaida ya vijana nyumbani. Ila cha kusikitisha mchele una mchanga mwingi kuliko chuya.Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Sure.... this is very dangerousThis only happens in a country where leaders (politicians) are after making profit (money) for themselves and for their families, who cares about civilians?
Everything is now being run awkwardly, the voices of the innocent is not considered., and for those who try to shout harder they're shut up by hooligans....
Chunguzeni kikamilifu, vitu hivyo vinaagizwa nasikia na Abduli!Wanajamvi
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini
Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kukuta keki ina michanga,maandazi yana michanga,ugali una michanga, bagia nk nkView attachment 3603889
Yani shida ni kwamba unakuta unanunua andazi ukitafuna ni michanga mitupu juzi nimenunua kalimati ikanishinda kila ukitafuna mchangaInaeweza kuwa nje ya mada hata sokoni tu unakuta maharage yamechanganywa na mimawe na majani humo humo.Sijui hata huko Ulaya ni hivyo hivyo ?! Unanunua karanga unakuta na mimawe na michanga eti uanze kuchambua upya.Shenzi.Afrika na miuchaufu uchafu Kila sehemu.Wakulima wetu siijui kinawashinda nini kupeleka nataka safi sokoni.
Inaeweza kuwa nje ya mada hata sokoni tu unakuta maharage yamechanganywa na mimawe na majani humo humo.Sijui hata huko Ulaya ni hivyo hivyo ?! karanga unakuta na mimawe na michanga eti uanze kuchambua upya.Shenzi.Afrika na miuchaufu uchafu Kila sehemu.Wakulima wetu siijui kinawashinda nini kupeleka nataka safi sokoni.
Anataka kutuuwa waTanganyika wote tufe nini ili wabaki na nchi yetu maana ni shidaChunguzeni kikamilifu, vitu hivyo vinaagizwa nasikia na Abduli!
Doh poleni sana sasa bora kwenye mchele waweza kuchambua mm nazungumzia unga wa ngano,sembe unakula ugali huku unakula na mchangaj
Juzi nikiwa na shemeji yako, tumenunua gunia la mchele kwa matumizi ya kawaida ya vijana nyumbani. Ila cha kusikitisha mchele una mchanga mwingi kuliko chuya.
💯% correct wanaongeza michanga humo kuongeza kilo waathirika wanakuwa walajiTozo zimesababisha wafanyabiashara kujiongeza
YoteUnga wa ngano au ugali?
labda wanatafuta watuDoh poleni sana sasa bora kwenye mchele waweza kuchambua mm nazungumzia unga wa ngano,sembe unakula ugali huku unakula na mchanga