Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!!
Kama kuna ukweli juu ya hili basi kutakuwa upunguvu wa watu wenye akili na wanaoweza kufikiri sawa sawa.
Kama kuna propaganda zinazoandaliwa eti kwa lengo la kuhusisha kenya au kuichafua kenye yakwamba wanahusika na haya maandamano
Basi tukubalianane na haya.
1.Nchi yetu haipo salama na vyombo na viongozi wenye wajibu wakuilinda nchi yetu hawana uwezo uwo,kuendelea kuwepo kwasababu kama raia wa nchi nyingine anaweza kuja kuandamana kwenye nchi yako,maana yake ni sawa sawa nchi haina utawala wala viongozi,ni sawa na pori ambapo mtu yeyote anweza kuingia na kufanya chochote.
La muhimu na la msingi zaidi ni kwamba wakenya hawatakuwa tayari kuona nchi yao inachafuliwa,na uzuri wakenya wanafahamika kwa ukorofi na niwatu wenye kujitambua sana.
Hapa wanaweza wakafanya kweli,wakaingia na jeshi ikawa ni vita vita.
Nipo hapa wakenya hawatakubali.
Nashauri nchi yangu iyachane na haya mambo,kwasababu reality walikufa ni watanzania na sio wakenya.
Sasa hivi tuangalie namna ya kuliponya taifa,haya mambo ya vita hatuyawezi.let to face reality.