PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
…Yanga ni kama kuwaweka watu sawa, ukweli ninachokiona mimi kuna kitu kikiubwa kinaenda kuwashukia timu nyungine. Kinachoenda kutokea huko kitasikitisha sana. Natamani kushauri, lakini sioni namna wanavyoenda kusalimika.
Itoshe tu kusema kwamba, Uhuni unapaswa kudhibitiwa kwenye vilabu vyetu
Itoshe tu kusema kwamba, Uhuni unapaswa kudhibitiwa kwenye vilabu vyetu