Hili Swali nimeliona katika Moja ya 'Past Papers' ya Somo la 'Political Science' naomba tusaidiane katika Kulijibu tafadhali....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?

Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.
 
Somo la political science wameanza lini kutunga pepper zao kwa kiswahili, lilete kwa lugha yake tukusaodie

USSR
 
Things are no longer at ease, CCM asilia imeshinda huu mtanange tayari…

Naihurumia sana Tanzania yangu maana wizi umeharalishwa tayari kwa yale yaliyo endelea dodoma siku ya leo..
 
Sijui Kiingereza nakuomba unisaidie Kulitunga / Kuliancika kwa Kiingereza ili Wewe na Wasomi Wenzako na mnaoishi Uingereza na Marekani muweze Kulielewa. Nitashukuru.
 
Swali gani hili sas mbna hujui kuliweka vzr Hakuna nukta Wala koma ipo Kama shairi fln HV au maoni HV umetoa

Au mzee wa popoma upo katk kilaji nn

Tz tuna Kaz San kufikia malengo Kam kina genta ndio wakosoaji wa namna hii
 
Experience inaonesha wazalendo wa kweli na viongozi bora ndio hao huchafuliwa kwa propaganda za kuitwa dikteta.
 
Swali gani hili sas mbna hujui kuliweka vzr Hakuna nukta Wala koma ipo Kama shairi fln HV au maoni HV umetoa

Au mzee wa popoma upo katk kilaji nn

Tz tuna Kaz San kufikia malengo Kam kina genta ndio wakosoaji wa namna hii
Acha Kunipotezea muda You damn Nut.
 
Things are no longer at ease, CCM asilia imeshinda huu mtanange tayari…

Naihurumia sana Tanzania yangu maana wizi umeharalishwa tayari kwa yale yaliyo endelea dodoma siku ya leo..
Ccm asili sawa. Wizi hapana, hautarudi.
 
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?

Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.
Mifumo yote miwili ni bora kulingana na wakati wake. Mfumo wa pili ni bora kwa wakati huu tulionao japo mfumo wa kwanza ungekua bora zaidi kama tungepunguza kuvimba.
 
Kisu kimefika kwenye mfupa
Swali lako mtumie Polepole maana anajiita mwl wa uongozi atakujibu vzr
 
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?

Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.

Ninachoweza kusema (kutoa maoni) kuhusu hilo swali ni kwamba; huyo aliyetunga hilo swali na hao waliolipisha wote wachunguzwe AKILI zao, kamwe haiwezekani watu wenye akili TIMAMU wakatunga swali tata la aina hiyo, yawezekana aliyetunga hilo swali kwanza alipiga ulabu ndipo akatunga au hajui politics au ni mtu wa fani nyingine.

Hilo ni swali tata.
 
Back
Top Bottom