GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Somo la political science wameanza lini kutunga pepper zao kwa kiswahili, lilete kwa lugha yake tukusaodieJe, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?
Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.
Sijui Kiingereza nakuomba unisaidie Kulitunga / Kuliancika kwa Kiingereza ili Wewe na Wasomi Wenzako na mnaoishi Uingereza na Marekani muweze Kulielewa. Nitashukuru.Somo la political science wameanza lini kutunga pepper zao kwa kiswahili, lilete kwa lugha yake tukusaodie
USSR
Acha Kunipotezea muda You damn Nut.Swali gani hili sas mbna hujui kuliweka vzr Hakuna nukta Wala koma ipo Kama shairi fln HV au maoni HV umetoa
Au mzee wa popoma upo katk kilaji nn
Tz tuna Kaz San kufikia malengo Kam kina genta ndio wakosoaji wa namna hii
Ccm asili sawa. Wizi hapana, hautarudi.Things are no longer at ease, CCM asilia imeshinda huu mtanange tayari…
Naihurumia sana Tanzania yangu maana wizi umeharalishwa tayari kwa yale yaliyo endelea dodoma siku ya leo..
You damn nut umekitoa wapi ujue mkwe unaZinguaAcha Kunipotezea muda You damn Nut.
Mifumo yote miwili ni bora kulingana na wakati wake. Mfumo wa pili ni bora kwa wakati huu tulionao japo mfumo wa kwanza ungekua bora zaidi kama tungepunguza kuvimba.Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?
Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga Interests zao ), Wadhulumati na Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya na Wabobezi wa Magendo?
Nitawashukuru Werevu wa JF mkilijibu.