Hili Taifa bado mawazo ya wengi ni ya ki-peasant sana.

Hili Taifa bado mawazo ya wengi ni ya ki-peasant sana.

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,162
Kwa kweli inasikitisha sana despite all the challenges of the nation right now we are passing through, unakuta mitaondaoni kwote wasomi wasio wasomi wako buzy kujadili post ya vi-bint vya teenage ambapo viko kwenye climax ya balehe, vilio maliza mitihanu ya form 4 yao, hapo ndo unajua hi nchi raia wao ni low thinking capacity, akili nyingi huwaza ngino imagine Elinino emetengewa sh 73bn ila raia hawalioni, katiba mpya bado, Lissu anamgomo wa kula, RC anataka kuomba misa ya Oct 29th ila hawewezi kujadili hayo wanawaza ngono zavitoto vyao vya kuzaa eti serikali iondowe adhabu ya miaka 30, very bogus nation
 
Back
Top Bottom