Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Team Mumkomeeee oyeeee
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo
 
Ndo washajazi hivyo
Kufa na kijiba chako
Wasafi wamejaza uwanjan kwasabu tu ya ule ukubwa wa BRAND ila tukiweka ushabiki pemben tusimame kweny ukwel kabisaa wasafi bado sana kweny matamasha
 
Huyu ferouz nilijua kwangu tu aliboa sana jana

Hakika alitukosea sana...

Pumzi alikua hana, kuzunguka jukwaa huku na kule...

Playback mwanzo mwisho... Jay alikua anakwenda na beat tu...

Amber Rutty alikua anawaza tabia mbaya tuu...


Cc: mahondaw
 

Haika... though kila zama na zama zake...

Ila nyimbo za zamanai bado zina mzuka sana... zinaujumbe kuntu na fikirishi...

Burudani mwanzo mwisho...


Cc: mahondaw
 
Dunia hii hakuna mtu wa kukupa opportunity inabidi uigrab mwenyewe.., ukipewa dakika tatu uzitumie hizo vyema ili ukifukuzwa mashabiki wakurudishe kwa kelele na kuzomea wanaokutoa...
You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow​
 
Mbosso alikua analia muda kila saa muda amepewa mdogo
 
Mi nilishangaa sana, ratiba ina mambo kibao muda mchache
 
Hakika alitukosea sana...

Pumzi alikua hana, kuzunguka jukwaa huku na kule...

Playback mwanzo mwisho... Jay alikua anakwenda na beat tu...

Amber Rutty alikua anawaza tabia mbaya tuu...


Cc: mahondaw
[emoji1787][emoji1787] Tabia gani hiyo smart
 
Kwahiyo mlitaka waende sawa na boss wao???
Si ndiyo maana tunashauri waliite Diamond Festival kuliko Wasafi Festival, Tamasha liwe wasafi halafu msanii mmoja masaa 3 mwingine dakika 2 🙄
 
ulitarajia uwepo wa kina Savage na Wizkid watu wawe wachache?
 
Ukiachilia mbali kwamba una sound kama mtoto wa kike wa uswahilini, pia unaonekana mweupe kinoma kichwani.

Unaulizwa unaitwa nani unajibu 'hujaoa bado upo shule'
 
Old ndo wana vibe baba lao,unateseka...?
 
Si ndiyo maana tunashauri waliite Diamond Festival kuliko Wasafi Festival, Tamasha liwe wasafi halafu msanii mmoja masaa 3 mwingine dakika 2 🙄
Kila tamasha Kuna kuwa na mtu mzito ambaye lazima apewe dakika nyingi kuliko mwingine mbona fiesta ya 2014 nafikiri diamond alipewa dakika nyingi za kuperform kuliko msanii yoyote mbona ukusema fiesta ni ya diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…