Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

ulitarajia uwepo wa kina Savage na Wizkid watu wawe wachache?
Inferior mentality,hata wasingekuja hao still ile list ya local artists waliohit zamani + wasasa na wasafi crue wangetosha kujaza hata national Stadium.
 
Si ndiyo maana tunashauri waliite Diamond Festival kuliko Wasafi Festival, Tamasha liwe wasafi halafu msanii mmoja masaa 3 mwingine dakika 2 [emoji849]
Mkuu Mbona inaonekana umeumizwa sana d'mond kupata mda mwingi wa ku perform,hakuna haja ya kuliita diamond festival,nadhani ulimwengu unajua ukitaja wasafi haijalishi ni FM, TV, au WCB unamaanisha Diamond platinumz

Kwaio bango ni kubwa taswira ya wasafi empire inawakilishwa na Diamond sio lazima umtaje labda kama umefufuka Jana maana hata walioko huko jera wanajua hilo sijui Wewe wa wapi.
 
Ukiachilia mbali kwamba una sound kama mtoto wa kike wa uswahilini, pia unaonekana mweupe kinoma kichwani.

Unaulizwa unaitwa nani unajibu 'hujaoa bado upo shule'
kuwa mweupe kichwani ina maana uko na akili.
Ila kuwa mweusi kichwani ni ungumbaru na ulofa.

Kwani kuwa mtoto wa kike ni fedheha au ndio unatakiwa udharaulike?
Au watoto wakike hawanaga akili?

Boya wewe
 
Yan msimu huu tigo fiesta kama uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji
 
Hahaa
Hao wasanii wote ni kundi la wavuta bangi, hakuna alieimba hapo, kama umetoa pesa yako kwenda kuangalia huo upuuzi jua wewe ni mvulana sio mwanaume mwenye majukumu.
 
Akikujibu unitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…