Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kutengeneza ukaribu badala ya hofu ama chuki baina ya raia na polisi.Kuna tija gani kwenye kuwatania hao polish?
Huu sio utani Sasa hahaha......au unamtania unamwambia "ndio maana mnagongewa mademu zenu mnapokua lindo"!Imagine umemtania polisi "Hiloo linavaa uniform toka chekechea hadi kazini" kitachokupata utajikuta uko moi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine umemtania polisi "Hiloo linavaa uniform toka chekechea hadi kazini" kitachokupata utajikuta uko moi
Polisi sina maxoea nao ni wajinga wajinga sana ukikaa nao unaona kabisa hakuna shule kwenye maongezi yao.Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania?
SIKU ZOTE NITALIA NA ALIYEWAROGA WAAFRIKA. ALITUFANYIA JAMBO BAYA SANA.
View attachment 2520909