Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania?

SIKU ZOTE NITALIA NA ALIYEWAROGA WAAFRIKA. ALITUFANYIA JAMBO BAYA SANA.

Screenshot_2023-02-17-22-43-53-928_com.whatsapp~2.jpg
 
Kutania polisi ni sawa na kucheza na simba mwenye njaa.
Mizee ya fursa inakubadilishia kibao huku inakuchekea.
 
Imagine umemtania polisi "Hiloo linavaa uniform toka chekechea hadi kazini" kitachokupata utajikuta uko moi
Huu sio utani Sasa hahaha......au unamtania unamwambia "ndio maana mnagongewa mademu zenu mnapokua lindo"!
 
Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania?

SIKU ZOTE NITALIA NA ALIYEWAROGA WAAFRIKA. ALITUFANYIA JAMBO BAYA SANA.

View attachment 2520909
Polisi sina maxoea nao ni wajinga wajinga sana ukikaa nao unaona kabisa hakuna shule kwenye maongezi yao.
 
Back
Top Bottom