Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu yuko Serikalini ina maana Watoto Wangu wateseke kisa Tu Mimi sio mwajiriwa?
Hapa ndio chanzo cha rushwa kinatengenezwa, ni heri mngeruhusu wote Tu KULIKO kuweka madaraja. Ndoa haziangalii Ajira , ndoa ni makubaliano na ustawi wa familia haungalii wewe ni Nani.