Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Serikali itaingiliaje maamuzi ya sekta binafsi? Je kama hiyo kampuni/taasisi binafsi haina branch au ofisi mkoa unaotakiwa kwenda wanafanyaje? Au haina mahitaji ya kuongeza mfanyakazi inakuaje? Au kupunguza?Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu yuko Serikalini ina maana Watoto Wangu wateseke kisa Tu Mimi sio mwajiriwa?
Hapa ndio chanzo cha rushwa kinatengenezwa, ni heri mngeruhusu wote Tu KULIKO kuweka madaraja. Ndoa haziangalii Ajira , ndoa ni makubaliano na ustawi wa familia haungalii wewe ni Nani.View attachment 3111767
Simbachawene hajawahi kumiliki akiliNasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu yuko Serikalini ina maana Watoto Wangu wateseke kisa Tu Mimi sio mwajiriwa?
Hapa ndio chanzo cha rushwa kinatengenezwa, ni heri mngeruhusu wote Tu KULIKO kuweka madaraja. Ndoa haziangalii Ajira , ndoa ni makubaliano na ustawi wa familia haungalii wewe ni Nani.View attachment 3111767
Kwani ajira za private sector siyo ajira?Sasa kama hujaajiriwa unahamishwaje? Hapo unamfuata tu mwenzako.
Yeye Ndio anatakiwa kunifuata, kwahio yeye haruhusiwi kuja kwakua Mimi sio mwajiriwa.....soma tenaSasa kama hujaajiriwa unahamishwaje? Hapo unamfuata tu mwenzako.
Mimi ni mmoja wao, Wife kapeleka muda Sana Sana, soon namuachisha KAZI Aiseee!Pale UTUMISHI kuna shida kubwa sana; kuna barua za watu kufuata wenza Wao wameambatanisha nyaraka zote lakini barua zao hazijafanyiwa kazi zaidi ya mwaka sasa...alafu wanakuja na kelele zingine.
UTUMISHI acheni matamko na matangqzo ambayo hamwezi kuyatekeleza.
Hapo UTUMISHI kuna upumbavu sana; wao ndiyo wa kwanza kuwalaumu viongozi wa taasisi zingine kuhusiana na kuchelewesha taarifa za watumishi wao alafu wao wanaona wana haki ya kukaa na taarifa za mtumishi bila kuyafanyia kazi zaidi ya miezi nane.Mimi ni mmoja wao, Wife kapeleka muda Sana Sana, soon namuachisha KAZI Aiseee!
Kwann umuachishe kazi mkeo ambae mume wake namba moja ni kazi na amwmuhangaikia kwa zaidi ya miaka 15 tangu anazaliwa?Mimi ni mmoja wao, Wife kapeleka muda Sana Sana, soon namuachisha KAZI Aiseee!
Sasa wewe unasimamia shamba la miwa kilombero utahamiaje Bagamoyo????Kwani ajira za private sector siyo ajira?
Si mke wangu anahama kunifuata mimi niliyekwenye private sector?Sasa wewe unasimamia shamba la miwa kilombero utahamiaje Bagamoyo????
Hakika.Simbachawene hajawahi kumiliki akili
Teuzi za hovyo zinaua utumishi wa ummaHapo UTUMISHI kuna upumbavu sana; wao ndiyo wa kwanza kuwalaumu viongozi wa taasisi zingine kuhusiana na kuchelewesha taarifa za watumishi wao alafu wao wanaona wana haki ya kukaa na taarifa za mtumishi bila kuyafanyia kazi zaidi ya miezi nane.
Mara wanaanzisha mfumo ess lakini bado nyaraka hazitoki; wanasema leta nyaraka zote bado barua hazitoki sasa kuna maana gani mtumishi kufuata taratibu zote ili wao wafanye kazi ya kutoa idhini tu?
Bwana Katibu Mkuu alienda hapo kupaaribu siyo kuboresha...
Ah kweli bwana!,Sasa Mimi ni Afisa nyukiSi mke wangu anahama kunifuata mimi niliyekwenye private sector?
Hahahahaha Beijing imeharibu sana wanawake, sasa hivi nao wanataka haki sawaKwann umuachishe kazi mkeo ambae mume wake namba moja ni kazi na amwmuhangaikia kwa zaidi ya miaka 15 tangu anazaliwa?
Hapa wabeijing utawaua tu mzee
siasa zipo kila mahali aiseeeBwana Katibu Mkuu alienda hapo kupaaribu siyo kuboresha...
Nyuki wenyewe wako wapi?Ah kweli bwana!,Sasa Mimi ni Afisa nyuki