domo kubwa
Senior Member
- Oct 7, 2017
- 114
- 174
TUNAUZA DAWA YA KULILIWA NA MPENZI WAKO UKIMUACHA....
KULIA KAWAIDA. 10000/=
KULIA KWA KUTOKWA NA MACHOZ MENGI KAMA MAJIRANI.. 15000
KULIA NA KUTOKA MAKAMASI..30000/=
KULIA KWA KUGALAGALA CHINI KAMA UNACHEZA MWAGA MAJI TUCHEZE KAMA SAMAKI.. 40000
KULIA NA KUONGEA KIZUNGU like I feel to die..50000/=
Tupo Mjini karibu na stand kuu ya haisi mkabara na jengo la maduka ya nguo na sim gorofa ya 2...tunawakaribisha sana na utakutana na wahudumu wetu waliobobea kweny kaz