Hili tangazo linanichanganya sana wajamen ivi aya mambo yapo kweli!!?

domo kubwa

Senior Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
114
Reaction score
174
TUNAUZA DAWA YA KULILIWA NA MPENZI WAKO UKIMUACHA....

KULIA KAWAIDA. 10000/=

KULIA KWA KUTOKWA NA MACHOZ MENGI KAMA MAJIRANI.. 15000

KULIA NA KUTOKA MAKAMASI..30000/=

KULIA KWA KUGALAGALA CHINI KAMA UNACHEZA MWAGA MAJI TUCHEZE KAMA SAMAKI.. 40000

KULIA NA KUONGEA KIZUNGU like I feel to die..50000/=

Tupo Mjini karibu na stand kuu ya haisi mkabara na jengo la maduka ya nguo na sim gorofa ya 2...tunawakaribisha sana na utakutana na wahudumu wetu waliobobea kweny kaz
 
Inapatikana guorofani karibu na Coca cola Mwenge
 
TUNAUZA DAWA YA KULILIWA NA MPENZI WAKO UKIMUACHA....

KULIA KAWAIDA. 10000/=

KULIA KWA KUTOKWA NA MACHOZ MENGI KAMA MAJIRANI.. 15000

KULIA NA KUTOKA MAKAMASI..30000/=

KULIA KWA KUGALAGALA CHINI KAMA UNACHEZA MWAGA MAJI TUCHEZE KAMA SAMAKI.. 40000

KULIA NA KUONGEA KIZUNGU like I feel to die..50000/=

Tupo Mjini karibu na stand kuu ya haisi mkabara na jengo la maduka ya nguo na sim gorofa ya 2...tunawakaribisha sana na utakutana na wahudumu wetu waliobobea kweny kaz
hahahahahahahaaaaaaaa
 
Kwenye utawala wa tano kuna masiara ya kutosha.
Ruge like i feel to die.
 
Back
Top Bottom