Hili tangazo ni sahihi kweli?

chamlungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
324
Reaction score
336
Matangazo mengi yenye kilevi kama bia yana slogan inayosema: HAIUZWI KWA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE

Swali langu kama hao chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kununua, je wanaruhusiwa kutumia endapo watanunuliwa na mtu mwenye zaidi ya miaka 18?
 

Siku hizi wameboresha zaidi tangazo la nature hii kwa kuongeza "HAIUZWI WALA KUTUMIWA KWA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18"
 
hii wameitafsiri wrongly toka kwn slogan ya castle lager 'drink responsibly'. naona waliona wakiandika kunywa huku ukiwajibika au ukitimiza majukumu yako wabongo wataquit. tafakari yangu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…